Ijumaa, 29 Aprili 2016

Supertemboz another level

Nakumbuka ni wapi ila sikumbuki ni Lin na mwanang wa dhahabu mwite #chidyfire aka r_square nakumbuka mengi sana na huyu jamaa huwez amin maisha yametutenganisha mie na yangu ye nazake ni marafiki ni ndugu wa dam pia ni zaid ya ndugu 1day mwanangu tuta meet2 tena na label itarud jina palepaleeeeeee heshima palepaleeee nipo level zingine na hussle kivingine tena ili 1day iwe poa tena

Supertemboz

Another level from1 to another 1day yes because always must be change

Jumanne, 31 Machi 2015

chege na temba ft dj uhuru kaunyaka|supertemboz

Hey! I am listening to this cool track Kaunyaka on Mziiki, i am sure you would love it too. Click to listen. http://www.mziiki.com/web/share_song.php?rcode=MDYwMDAzMDA4OQ==

Jumatatu, 30 Machi 2015

madhara ya kutumia sim kwenye chaji

hii nimeitoa huko instagram huyo ni dada alio kua anaongea na sim ikiwa kwenye chaji matokeo yake moto ukazidi na kusababisha sim kuungua na yeye kuungua sikio

balaa la kanga moko

kwa hali hii ndo bas tenaa maana imekua fashion kwa dada zetu hivi jaman hamuon kama mnatuumiza na hivyo vi kanga vyenuuu mmmmh... yetu machooo

ajali mpanda