Jumanne, 31 Machi 2015
chege na temba ft dj uhuru kaunyaka|supertemboz
Hey! I am listening to this cool track Kaunyaka on Mziiki, i am sure you would love it too. Click to listen.
http://www.mziiki.com/web/share_song.php?rcode=MDYwMDAzMDA4OQ==
Jumatatu, 30 Machi 2015
madhara ya kutumia sim kwenye chaji
hii nimeitoa huko instagram huyo ni dada alio kua anaongea na sim ikiwa kwenye chaji matokeo yake moto ukazidi na kusababisha sim kuungua na yeye kuungua sikio
balaa la kanga moko
kwa hali hii ndo bas tenaa maana imekua fashion kwa dada zetu hivi jaman hamuon kama mnatuumiza na hivyo vi kanga vyenuuu mmmmh... yetu machooo
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)