Ningependa nikuambie neno ambalo halina ghalama na likitumiwa vibaya halina maana wala thamani neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata hali tamkiki ilatu linatokea bila hata kujua na halina sababu neno hilo mimi mwenyewe silijui ila ndo linatufanyatuwe pamoja japo tupo kasi na kusi nakupenda sana my
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni