Jumapili, 20 Julai 2014


LOVE SMS        Sipo, tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi sitokutenda asilani nakupenda toka moyoni

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni